Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Deny deny deflWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
Deny deny deflect, yaani mchango wa viongoz wabovu kwenye hayo machafuko hautajwi, lawama wanabebeshea wengine?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.

Samaki huoza kuanzia kichwani, Kwa hiyo juu ya Hilo unataka kutuambia nini ,Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
Siyo kweli hata kidogo, machafuko yanaletwa na uonevu, ukandamizaji na unyimaji wa haki. Kama Wayahudi wasingewakandamiza Wapalestina leo hii hakungekuwa na Hamas. Hata Serikali hii ya CCM inavyotumia mabavu ya vyombo vya dola kukandamiza, kuteka, kupoteza na kuua wapinzani na wakosoaji huko tuendako machafuko hayaepukiki.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.