Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kalieni tu mafaili ya kina mdude lissu na wote mliowateka na kuwauwa au kuwapiga risasi huku mkijua jinai haiozi."Jinai haiozi" kauli yake tutaitumia siku ya kesi yake.
shule unafungua liniNaungana na Mh Katambi.
Mtoto akililia wembe hupewa.
Kwanini haundamaniWajibu bila haki ni uonevu. Sitaandamana lakini hoja za wanaopanga au kuratibu maandamano zisikilizwe. Zenye majibu zijibiwe
Ili aeleweke atuambie Mwaipopo na yule mkata miguu wa manzese wapo mahabusu ipi wao na kundi lao tuwapelekee sabuni na kinyume chake ajishtaki yeye na polisi kwa kuchochea uvunjivu wa amani."Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi. Ukifanya leo kosa linai ukidhani mjanja haujakamatwa leo basi kesho hautakamatwa lakini si keshokutwa tutakukamata"
Hayo ameyasema Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 6, 2026 akiwa yanapofanyika Maonesho ya 50 ya Viwanda na Biashara(Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Maandamano ni hiyari, waandamanaji wana hoja na wasioandamana wana hoja. Shida ni pale serikali inapoegemea upande mmojaKwanini haundamani
Je, haumini kwenye sababu zinazotolewa na waandamanaji au hauamini kwenye kudai mabadiliko kwa njia ya maandamano?
Mzee umechana mistari mikali kama ya Afande Sele.Maandamano ni hiyari, waandamanaji wana hoja na wasioandamana wana hoja. Shida ni pale serikali inapoegemea upande mmoja