Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania iko salama, akieleza kuwa uimara wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama umeiweka nchi salama tangu ilipopata uhuru.
Katambi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kwanza kutembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma tangu ateuliwe kuiongoza wizara hiyo.
Katika ziara hiyo, alifuatana na Naibu Waziri Ayoub Mohamed Mahmoud pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Miriam Mmbaga.