Katambi: Tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na tunahalalisha haramu nyingi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amejibu hoja zinazodai kuwa Jeshi la Polisi limepoteza imani na kuaminika miongoni mwa wananchi

"Tumefika hapo kwa sababu ah moja tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na pili kwa sababu hatufuati sheria na tunahalalisha haramu nyingi polisi mwisho wa siku ndio msukumaji wa kusimamia sheria na maadili ya nchi. Sasa atakapochukua hatua ndio anaonekana ni nongwa au ana matatizo."

"Wezi wako kwenye familia zetu. Majambazi wako kwenye familia zetu. ... Sasa kwenye watu ambao wanafanya vitu ambavyo viko kinyume cha sheria wanapochukuliwa hatua hakuna anayefurahi."

"...mwisho wa siku anasema hata nikimpeleka polisi huyo ataachiwa kwa kudhania hivyo kwa sababu kuna dhana hiyo inatengenezwa pia eh kwamba ah labda kutakuwa kuna rushwa. Matokeo yake huyu mtu anajichukulia sheria mkononi..."

..Na Polisi kushiriki utekaji, utesaji, na mauaji, walaumiwe wazazi, au watawala?
 
Kwahiyo kuteka watu ndio maadili?

Kitambi ni zezeta la Lumumba.
 
NI SUALA LA SIASA NDYO MANA HAIAMINIKI.WANATUMIWA NA WANASIASA KWENYE UTEKAJI
 
Kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amejibu hoja zinazodai kuwa Jeshi la Polisi limepoteza imani na kuaminika miongoni mwa wananchi

"Tumefika hapo kwa sababu ah moja tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na pili kwa sababu hatufuati sheria na tunahalalisha haramu nyingi polisi mwisho wa siku ndio msukumaji wa kusimamia sheria na maadili ya nchi. Sasa atakapochukua hatua ndio anaonekana ni nongwa au ana matatizo."

"Wezi wako kwenye familia zetu. Majambazi wako kwenye familia zetu. ... Sasa kwenye watu ambao wanafanya vitu ambavyo viko kinyume cha sheria wanapochukuliwa hatua hakuna anayefurahi."

"...mwisho wa siku anasema hata nikimpeleka polisi huyo ataachiwa kwa kudhania hivyo kwa sababu kuna dhana hiyo inatengenezwa pia eh kwamba ah labda kutakuwa kuna rushwa. Matokeo yake huyu mtu anajichukulia sheria mkononi..."

Ni kama chama chako cha sasa kinavyo halalisha haramu kwenye chafuzi?
 
Back
Top Bottom