Katambi :Tusiruhusu wachache wavuruge amani na utulivu wa taifa letu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amezitaka Jumuiya za kiraia nchini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuimarisha umoja, mshikamano na kulinda amani.

Wito huo ameutoa wakati akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.

Katambi amesisitiza kuwa,Taifa letu lina historia nzuri katika kulinda amani na utulivu wa nchi, hivyo ni vizuri kuendelea kuilinda historia hiyo kwa kuepuka kuingia kwenye vurugu na machafuko yanayoweza kusababisha kupoteza amani.


Your browser is not able to display this video.
 
Nani tena anayeharibu amani? Akamatwe haraka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Vipi kuhusu wanaofuja mali ya umma na kudumaza maendeleo? hao waziri anasemaje? Tuendelee au tusiendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…