Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema zuio la mikutano ya hadhara halilengi kukiuka misingi ya demokrasia nchini, bali kuimarisha ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa demokrasia bila mipaka ni fujo.
Katambi amesema hayo leo, Juni 29, 2026, katika mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Akinukuu msimamo wa Serikali, Katambi alikumbusha kuwa Juni 26, 2026, alipokuwa akizungumza bungeni jijini Dodoma, alisema kuna taarifa za baadhi ya watu kuhamasisha vurugu na uvunjifu wa amani nchini, akisisitiza kuwa Serikali haitawafumbia macho wanaolenga kuvuruga amani.