CartambirWaziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini.
Hoja nzito sana hii.....na ndo ukweli wenyewewale wametanguliza watoto wao nje ya nchi.
Hizo propaganda zilishapitwa na wakati. Lazima mtatoka tu madarakaniHoja nzito sana hii.....na ndo ukweli wenyewe
Utamweza mbowe na ccmMpaka leo siamini eti katambi alikua mwenyekiti Bavicha Taifa? Dah
Kwetu sisi hiyo sio propaganda, ni ukweli uliopo dhahiri kabisa. Lissu, lema, mbowe familia zao zipo ulaya na marekani. Mibarka ya kishenzi kabisa, watanzania tumewakataa kuwapa uongozi.Hizo propaganda zilishapitwa na wakati. Lazima mtatoka tu madarakani
Hili domo linafunga kweli ? Mimi nafikiri linatakiwa kushonwa ili lipungue kidogoAtulie dawa imuingie fresh View attachment 3633182
Wewe sio mtanzania unajua kuongea kitanzania (KISWAHILIKwetu sisi hiyo sio propaganda, ni ukweli uliopo dhahiri kabisa. Lissu, lema, mbowe familia zao zipo ulaya na marekani. Mibarka ya kishenzi kabisa, watanzania tumewakataa kuwapa uongozi.
)Ila sio mtanzania CCM inafuga mikimbiziKwetu sisi hiyo sio propaganda, ni ukweli uliopo dhahiri kabisa. Lissu, lema, mbowe familia zao zipo ulaya na marekani. Mibarka ya kishenzi kabisa, watanzania tumewakataa kuwapa uongozi.
Halafu Shy town kati huwa hahutubii mara nyingi...utamuona pembezoni Vijijini huko kama hapa akijisifia au akichimba mkwara Mwananchi!!!Mpaka leo siamini eti katambi alikua mwenyekiti Bavicha Taifa? Dah
Katambi wewe ni mmojawapo wa watu wa kunyonga kwa haki muda ukifika. Watu ambao wamekufa kwa amri zako ni wengi sanaWaziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini, amesema serikali itaendelea kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani huku ikidhibiti wale ambao wanapanga kufanya matukio yoyote yatakayohatarisha usalama wa nchi.
Aidha, ameeleza kuwa mpaka sasa hajapokea wito wowote kutoka mahakamani kutokana na uwepo wa taarifa za kuwa kuna kesi imefunguliwa dhidi yake.
Soma pia LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa
"Wale waliokuwa wanapinga wanaona aibu leo, na ndio hao ambao wanasema wanampeleka Katambi mahakamani. Sasa mahakamani Katambi unamtishia tena Katambi huyu au Katambi mwingine? Tunamvuta mahakamani, tunampeleka, tunafanya nini na nini, alafu?
Mmeshindwa kuwapeleka mahakamani ambao wanachochea taifa letu kuangamizwa kwa kuchomwa moto. Mmesikia shule zinataka kuchomwa moto, watu wavamie vituo vya polisi. Hivi ikitokea machafuko hapa, wale wametanguliza watoto wao nje ya nchi.
Kuna mzee mmoja anaenda kunishtaki, yaani nasema hata Watanzania hawawezi kumwamini tena, eti anasema, 'Mimi uzee huu siwezi kuona haki inapotea.' Sasa haki ipi? Na ndio maana nimesema, mimi mwenyewe hapa hata sijaiba hata bamia kapu, na mahakamani hata wakiniita naenda mguu mmoja."- Amesema Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi
Sasa si asubiri aitwe mahakamani? Au kaamua kuitisha Mahakama?Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini, amesema serikali itaendelea kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani huku ikidhibiti wale ambao wanapanga kufanya matukio yoyote yatakayohatarisha usalama wa nchi.