Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki

Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini, amesema serikali itaendelea kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani huku ikidhibiti wale ambao wanapanga kufanya matukio yoyote yatakayohatarisha usalama wa nchi.

Aidha, ameeleza kuwa mpaka sasa hajapokea wito wowote kutoka mahakamani kutokana na uwepo wa taarifa za kuwa kuna kesi imefunguliwa dhidi yake.

Soma pia LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

"Wale waliokuwa wanapinga wanaona aibu leo, na ndio hao ambao wanasema wanampeleka Katambi mahakamani. Sasa mahakamani Katambi unamtishia tena Katambi huyu au Katambi mwingine? Tunamvuta mahakamani, tunampeleka, tunafanya nini na nini, alafu?

Mmeshindwa kuwapeleka mahakamani ambao wanachochea taifa letu kuangamizwa kwa kuchomwa moto. Mmesikia shule zinataka kuchomwa moto, watu wavamie vituo vya polisi. Hivi ikitokea machafuko hapa, wale wametanguliza watoto wao nje ya nchi.

Kuna mzee mmoja anaenda kunishtaki, yaani nasema hata Watanzania hawawezi kumwamini tena, eti anasema, 'Mimi uzee huu siwezi kuona haki inapotea.' Sasa haki ipi? Na ndio maana nimesema, mimi mwenyewe hapa hata sijaiba hata bamia kapu, na mahakamani hata wakiniita naenda mguu mmoja."- Amesema Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi
Katiba katiba katiba ni muhimu kuielewa.
 
Kwetu sisi hiyo sio propaganda, ni ukweli uliopo dhahiri kabisa. Lissu, lema, mbowe familia zao zipo ulaya na marekani. Mibarka ya kishenzi kabisa, watanzania tumewakataa kuwapa uongozi.
Wewe mbona watoto wako umewasafilisha wapo vijijini NANYAMBA, MSUNJILILEE, LIKANG'AMBWA, DIUKIZULA n.k. umeona nani anakulalamikia? Mbona Rais Mwinyi kasoma nje ya nchi kwani umesikia wapi kuna nongwa? Kwa hiyo mtoto wa Lema kusoma CANADA isikuumize haijaja kwa bahati mbaya hayo ni matunda ya uwekezaji wa muda mrefu wa baba yake na kama unaona ni rahisi nawewe hamisha mtoto wako kutoka USHUMBWILUMBWI shule ya msingi na umuhamishie ONTARIO primary school huko CANADA
 
Mpuuzi we, inaonekana linyumbu wewe ni mmoja kati ya minyumbu isiyoelewa chochote kinachoendelea......pekee ukijuacho ni kupigwa tOne tOne tu. Nyambaaaf.

Huyo lissu familia yake Ina uraia wa huko, bwege wewe. Sio habari za kusoma. Pia huyo lema familia yake imetulia huko kimaisha na sio kwa ajili ya kusoma. Katika manyumbu yalicholewa, wewe unaweza kushika namba Moja.

Nikitaka kusahau, tOne tOne zenu zina mchango mkubwa mnoooo katika kuishi kwao huko.
 
Kwahiyo sisi tukichanga tone tone kumchangia LISSU akala minyama apendavyo wewe unakuwa unawashwa sehemu gani ya huo mwili tukusaidie kukuna? Hao waliowageuza kuwa misukule mbona karibu wote wana mahekalu huko duniani hilo hulioni? Dume zima unakubali kugezwa chawa ukipewa buku 2 unacheka cheka ukigeuziwa huku kule unayumba na vicheko ndo maana binafsi huwa siamini machawa like you marinda ni ya kutafuta na Scanning Electro-Micrograph
 
Kumbe naongea na amber rutty!!! Kwaheri
 
Back
Top Bottom