Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
"Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wizara ya Mambo ya Ndani imepanga kukusanya jumla ya shilingi bilioni mia nne tisini na tisa na milioni tisini kutoka kwenye vyanzo mbalimbali. Ili kufikia lengo hilo, wizara itaendelea kuimarisha matumizi ya mifumo ya kielektroniki na ununuzi wa vitendea kazi vya kisasa."