Katarama mnawahi wapi?

Katarama mnawahi wapi?

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni ktk hii BUS JIPYA lililokualinaeleka kwanza Kama walifika salama wamshukuru mungu na wasali Sana maana alikua ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikua anauwa abia wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE,,kwa naombeni Kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA,,USALAMA BARABARANI
Hawakomi tuu si walifungiwa juzi tuu!
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni ktk hii BUS JIPYA lililokualinaeleka kwanza Kama walifika salama wamshukuru mungu na wasali Sana maana alikua ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikua anauwa abia wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE,,kwa naombeni Kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA,,USALAMA BARABARANI

Kwa bongo ukikuta hii ni mwendelezo wa fitina zile zile nani atashangaa?
 
Ninewahi kupanda bus lao mara mbili. Kuna wakati nadhani ni washindani wao wanapiga vita. Mara zote nilizopanda sikuona mwendo wa hatari Wala blind spot overtake. Badala yake sehemu zenye mwinuko hayo mabus mengine yakuwa yanapitwa kwa Kasi sana kutokana na uwezo wa bus husika(scania), Sasa kwa maoni yangu, huu ni ugomvi wa brand za magari na sio bus operators.
 
Wenzetu nje wana barabara za spidi zote kubwa na ndogo. Wao huchagua kihekima wanataka Lane ipi. Choose wisely

Sie Bongo tumefanikiwa kuwa na mabasi ya spidi zote kubwa na ndogo. Chagua kihekima unataka basi lipi. Choose wisely

Lakini kuingia lane ya spidi usiyoitaka halafu kulazimisha wengine wote wafuate spidi unayoitaka, ni kinyume na sheria na sio ustaarabu.
D mbili tu ✌
 
Wenzetu nje wana barabara za spidi zote kubwa na ndogo. Wao huchagua kihekima wanataka Lane ipi. Choose wisely

Sie Bongo tumefanikiwa kuwa na mabasi ya spidi zote kubwa na ndogo. Chagua kihekima unataka basi lipi. Choose wisely

Lakini kuingia labe ya spidi usiyoitaka halafu kulazimisha wengine wote wafuate spidi unayoitaka, ni kinyume na sheria na sio ustaarabu.
D mbili tu ✌
Fuata sheria
 
Ninewahi kupanda bus lao mara mbili. Kuna wakati nadhani ni washindani wao wanapiga vita. Mara zote nilizopanda sikuona mwendo wa hatari Wala blind spot overtake. Badala yake sehemu zenye mwinuko hayo mabus mengine yakuwa yanapitwa kwa Kasi sana kutokana na uwezo wa bus husika(scania), Sasa kwa maoni yangu, huu ni ugomvi wa brand za magari na sio bus operators.
Washindani wake hao, hawana lolote.
Na point ya mleta maada ni ilikuwa sehemu yenye mwinuko. Asijue bus ni Scania
 
Back
Top Bottom