Katarama mnawahi wapi?

Katarama mnawahi wapi?

Ningekuwa na Mamlaka naamini yale majinga yote yanayosimamaga mabarabarani kushangilia mabasi kwa kuyamwagia maji ningekuwa nayakamata na kuyaweka Jela yakalime huko,yake ndio yanayowapambaga madereva wa mabasi kuendesha kwa wkasi
Ni either nyege au njaa inakusumbua unapata tabu namaisha yawatu kwan jamaa unaempigia kifua anakulipa shingap
 
Ukute abiria ndani ya bus hawana hata taarifa kuwa basi linahatarisha maisha Yao Kwa mwendo Kasi.

Abiria tuache kushabikia Ujinga,

Ukimuuliza unawahi Ili iweje, majibu Hana.
 
Ugomvi wa biashara huyo Katarama ataandikwa sana naona mmeshindwa kushindana nae kwenye Tiket mnakuja kutisha watu..
 
Hii
Ningekuwa na Mamlaka naamini yale majinga yote yanayosimamaga mabarabarani kushangilia mabasi kwa kuyamwagia maji ningekuwa nayakamata na kuyaweka Jela yakalime huko,yake ndio yanayowapambaga madereva wa mabasi kuendesha kwa kasi
Hii Nchi haiwezi kuwa na upumbav kama huo, mtu ana haki ya kufanya chochote ndani ya nchi yake isipokuwa asivunje sheria.
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
Gari zao nyuma zimeandikwa "jini kisirani" unategemea nini
 
Katarama kupata tiketi ni kazi sana. Zinajaza sana hata wiki moja kabla.
 
Inashangaza sana nao wana watetezi wakipewa adhabu kwa hizo rafu za barabarani
 
Back
Top Bottom