Katarama mnawahi wapi?

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
 
Hawakomi tuu si walifungiwa juzi tuu!
 

Kwa bongo ukikuta hii ni mwendelezo wa fitina zile zile nani atashangaa?
 
Ninewahi kupanda bus lao mara mbili. Kuna wakati nadhani ni washindani wao wanapiga vita. Mara zote nilizopanda sikuona mwendo wa hatari Wala blind spot overtake. Badala yake sehemu zenye mwinuko hayo mabus mengine yakuwa yanapitwa kwa Kasi sana kutokana na uwezo wa bus husika(scania), Sasa kwa maoni yangu, huu ni ugomvi wa brand za magari na sio bus operators.
 
Wenzetu nje wana barabara za spidi zote kubwa na ndogo. Wao huchagua kihekima wanataka Lane ipi. Choose wisely

Sie Bongo tumefanikiwa kuwa na mabasi ya spidi zote kubwa na ndogo. Chagua kihekima unataka basi lipi. Choose wisely

Lakini kuingia lane ya spidi usiyoitaka halafu kulazimisha wengine wote wafuate spidi unayoitaka, ni kinyume na sheria na sio ustaarabu.
D mbili tu ✌
 
Fuata sheria
 
Washindani wake hao, hawana lolote.
Na point ya mleta maada ni ilikuwa sehemu yenye mwinuko. Asijue bus ni Scania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…