Refer to the title. Title always hold water than the content. Kubali umekurupuka ndomaana kwenye gazet wanasoma headlines. Go' me right young boykwenye content kasema " sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy", sasa wewe na mimi nani kakurupuka?
Nakuunga mkono mkuu alafu ukizingatia na yeye alivo hudhanii Kama anaweza kukuchekesha ila yuko vizurAisee huyu dada ni nuksi,, ana kipaji cha kuzaliwa,, though yuko under MC pilipili ila pilipili hapo amefunikwa,, with in 3 years to come,, atakuwa levo nyngine asipo bweteka
Hajaolewa,ila ana mtotoVp ameolewa?
Hukuwahi kumuona hata Kansiime?
Dogo sio kila Title inabeba maana ya content, mara nyingi kwenye magazeti wanaweka Title za utata ili kumshawishi mtu anunue gazeti ila content ni different, refer Title za magazeti ya Shigongo. Mfano hii Title: 'WAZIRI ABAKA', kwenye content utakuta kitu tofauti na ulichodhania, kwenye Title unafikiri Waziri ambaye ni kiongozi Serikalini ila kwenye content unakuta kumbe alimaaanisha mwananchi wa kawaida anayeitwa Waziri. Hapo najaribu kukuelewesha tu mdogo wangu ili usiendelee kukariri kwamba kila Title inabeba maana ya content, kama na hapa utakuwa hujaelewa utakuwa huna tofauti na wale vilazza wa Udom waliotimuliwa hivi karibuniRefer to the title. Title always hold water than the content. Kubali umekurupuka ndomaana kwenye gazet wanasoma headlines. Go' me right young boy
Jiangalie wewe mi sio wa mbwinde na wala sifuatilii comedy zenu msanii analazimisha kuchekesha mpaka homa inampanda baadaeNyie ndo wale bila mtu kujipaka masizi hajakukosha
Mchaga matataHabari zenu wakuu,
Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande vyake vya video nacheka mbavu sina. Alafu cha ajabu haendani na comedy kabisa ..
I just lover her.View attachment 379687View attachment 379688View attachment 379689
Anakuwaga Na clips zake fupifupi audio Na videosKachekesha wapi huyo, mi ndo namuona leo