Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Aisee huyu dada ni nuksi,, ana kipaji cha kuzaliwa,, though yuko under MC pilipili ila pilipili hapo amefunikwa,, with in 3 years to come,, atakuwa levo nyngine asipo bweteka
 
Aisee huyu dada ni nuksi,, ana kipaji cha kuzaliwa,, though yuko under MC pilipili ila pilipili hapo amefunikwa,, with in 3 years to come,, atakuwa levo nyngine asipo bweteka
Nakuunga mkono mkuu alafu ukizingatia na yeye alivo hudhanii Kama anaweza kukuchekesha ila yuko vizur
 
Refer to the title. Title always hold water than the content. Kubali umekurupuka ndomaana kwenye gazet wanasoma headlines. Go' me right young boy
Dogo sio kila Title inabeba maana ya content, mara nyingi kwenye magazeti wanaweka Title za utata ili kumshawishi mtu anunue gazeti ila content ni different, refer Title za magazeti ya Shigongo. Mfano hii Title: 'WAZIRI ABAKA', kwenye content utakuta kitu tofauti na ulichodhania, kwenye Title unafikiri Waziri ambaye ni kiongozi Serikalini ila kwenye content unakuta kumbe alimaaanisha mwananchi wa kawaida anayeitwa Waziri. Hapo najaribu kukuelewesha tu mdogo wangu ili usiendelee kukariri kwamba kila Title inabeba maana ya content, kama na hapa utakuwa hujaelewa utakuwa huna tofauti na wale vilazza wa Udom waliotimuliwa hivi karibuni
 
Back
Top Bottom