Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ikuba kilichopo Halmashauri ya Mpimbwe.

Soma pia:
 
Hamna kesi hapo...

Hiyo inaitwa CBC.. walioko hifadhini wanaelewa...

Askari Tanapa wanapiga risas wafugaji kwenye WMA?

Washamba sana..
 
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ikuba kilichopo Halmashauri ya Mpimbwe.

View attachment 3169703

Soma pia:
Risasi ilipigwa juu ikandondoka ikamdhuru.

Mfugaji azingira askari?
 
Gimbagu Mandagu (25), Mkazi wa Kitongoji cha Ipota kijiji cha Ikuba tarafa ya Mpimbwe Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoa wa Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kijiji hicho ambapo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa Giambagu Masembe wakati akiwa anachuga mifugo ya ng’ombe katika mashaba alifuatwa na askari waliokuwa na silaha na kwa hofu baada ya kuwaona ndugu yao alianza kukimbia na ndipo akapigwa risasi.

Alipoulizwa juu ya tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Kaster Ngonyani amesema “Tunawashikilia Askari wawili wa TANAPA kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea katika Msitu wa WMA, Askari walipiga risasi juu ili kujilinda ndipo risasi moja ikatua kwa mfugaji.”
 
Serikali inaongozwa na vikundi vya wauaji. Imefika mahala wanaua na wanasema lolote kujitetea.

Mahakama ndo imebeba dhambi zote hizi
Saa 100 amekuwaje? Yoote hii madaraka tuuu ?? Machawa wako kazini kuua wenzao sababu ya eti siasa khaaa sielewiii...uvccm na tiss pkus police ndio wanaomgoza hayo magenge.....tunawaona walivyo busy
 
Mmmmmh nchi imefikia

Gimbagu Mandagu (25), Mkazi wa Kitongoji cha Ipota kijiji cha Ikuba tarafa ya Mpimbwe Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoa wa Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kijiji hicho ambapo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa Giambagu Masembe wakati akiwa anachuga mifugo ya ng’ombe katika mashaba alifuatwa na askari waliokuwa na silaha na kwa hofu baada ya kuwaona ndugu yao alianza kukimbia na ndipo akapigwa risasi.

Alipoulizwa juu ya tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Kaster Ngonyani amesema “Tunawashikilia Askari wawili wa TANAPA kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea katika Msitu wa WMA, Askari walipiga risasi juu ili kujilinda ndipo risasi moja ikatua kwa mfugaji.”
Patamu hasa
 
Saa 100 amekuwaje? Yoote hii madaraka tuuu ?? Machawa wako kazini kuua wenzao sababu ya eti siasa khaaa sielewiii...uvccm na tiss pkus police ndio wanaomgoza hayo magenge.....tunawaona walivyo busy
Wasichokijua ni kwamba ASILI ndiye CHANZO na ameanza kushughulikia mmoja mmoja.
 
Gimbagu Mandagu (25), Mkazi wa Kitongoji cha Ipota kijiji cha Ikuba tarafa ya Mpimbwe Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoa wa Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kijiji hicho ambapo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa Giambagu Masembe wakati akiwa anachuga mifugo ya ng’ombe katika mashaba alifuatwa na askari waliokuwa na silaha na kwa hofu baada ya kuwaona ndugu yao alianza kukimbia na ndipo akapigwa risasi.

Alipoulizwa juu ya tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Kaster Ngonyani amesema “Tunawashikilia Askari wawili wa TANAPA kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea katika Msitu wa WMA, Askari walipiga risasi juu ili kujilinda ndipo risasi moja ikatua kwa mfugaji.”

Hawa ni vibaraka wa Waarabu na Wazungu.

Waarabu ni majangili waliorasimishwa.

Ndio maana hawa Mgambo wa Tanapa wakapewa hadhi ya kuwa jeshi Usu kwa maana wameongezewa nguvu na kibali cha kuua Watangayika kwa kutumia silaha za kivita kwenye ardhi waliyoumbiwa na Mungu na sio ardhi ya waarabu wala wazungu.

Mapato ya wanyama na utalii yangedhibitiwa Watangayika wote wangeweza kuwekewa laki moja kwenye akaunti zao kila mwezi.

Majangili walioko kule Loliondo wanaiba wanyama halafu bunduki za serikali zinatumika kuua Watangayika kwenye ardhi yao.
Samiasita sitini na sita na awamu yake ya sita ni awamu ya hatari sana kwa ustawi wa Wanyonge wa nchi huo.
 
Mwananchi alikuwa na silaha gani hadi wao watumie silaha ya moto?

Walikuwa kwenye mission ya kutaka kumfilisi mwenye hao ng’ombe kama kawaida yao, wengi wamefilisiwa kwa hila. Kwa sasa mkishindwa kukamata mnafyatua risasi JUU.
 
Wanafanya kile wanachotaka kwa sababu hakuna wakuwafanya kitu. Ubinfsi na kujipenda kwa wananchi umetufikisha hapa, laiti kungekuwa na ushirikiano hii ya watu kufanya wanachokitaka kw sababu wana madaraka ingepungua au kuisha kabisa.
 
Back
Top Bottom