The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Risasi ilipigwa juu ikandondoka ikamdhuru.Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ikuba kilichopo Halmashauri ya Mpimbwe.
View attachment 3169703
Soma pia:
Bwanabwana hatari na nusuRisasi ikipigwa juu na ikashuka inakuwa na nguvu ya kumtoboa mtu?
State killings ni nyingi sana
Daaaa hizi damu hizi hazitamuacha no 1 salama......ua kila amaepinga khaaaaaRisasi ikipigwa juu na ikashuka inakuwa na nguvu ya kumtoboa mtu?
State killings ni nyingi sana
Serikali inaongozwa na vikundi vya wauaji. Imefika mahala wanaua na wanasema lolote kujitetea.Daaaa hizi damu hizi hazitamuacha no 1 salama......ua kila amaepinga khaaaaa
Saa 100 amekuwaje? Yoote hii madaraka tuuu ?? Machawa wako kazini kuua wenzao sababu ya eti siasa khaaa sielewiii...uvccm na tiss pkus police ndio wanaomgoza hayo magenge.....tunawaona walivyo busySerikali inaongozwa na vikundi vya wauaji. Imefika mahala wanaua na wanasema lolote kujitetea.
Mahakama ndo imebeba dhambi zote hizi
Patamu hasa
Gimbagu Mandagu (25), Mkazi wa Kitongoji cha Ipota kijiji cha Ikuba tarafa ya Mpimbwe Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoa wa Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kijiji hicho ambapo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa Giambagu Masembe wakati akiwa anachuga mifugo ya ng’ombe katika mashaba alifuatwa na askari waliokuwa na silaha na kwa hofu baada ya kuwaona ndugu yao alianza kukimbia na ndipo akapigwa risasi.
Alipoulizwa juu ya tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Kaster Ngonyani amesema “Tunawashikilia Askari wawili wa TANAPA kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea katika Msitu wa WMA, Askari walipiga risasi juu ili kujilinda ndipo risasi moja ikatua kwa mfugaji.”
Wasichokijua ni kwamba ASILI ndiye CHANZO na ameanza kushughulikia mmoja mmoja.Saa 100 amekuwaje? Yoote hii madaraka tuuu ?? Machawa wako kazini kuua wenzao sababu ya eti siasa khaaa sielewiii...uvccm na tiss pkus police ndio wanaomgoza hayo magenge.....tunawaona walivyo busy
ie najikuta namchukia siku baada ya sikuDaaaa hizi damu hizi hazitamuacha no 1 salama......ua kila amaepinga khaaaaa