Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.

Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.

Mungu ibariki Bavicha.

Asubuhi_ya_leo_Februari_02%2C_2022_viongozi_wa_Bavicha_Taifa_wakiongozwa_na_mwenyekiti_wa_Bavi...jpg
 
CHADEMA na CCM yote ni majizi tu. Kije chama kipya chenye sura mpaya sio nyinyi matapeli
 
Tulitapeli nini na wapi?
Ni chama flani kimekaa ki kujuana juana kupeana madili watu wanao fahamiana. Hakifai kuongeza nchi kaeni chini mje na mfumo mpya wa utawala muweke watu kutoka kona zote za Tanzania. Ila mnapoteza muda tu fanyeni kazi nyingine
 
Unaropoka vitu ulivyokaririshwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA anatokea wapi? Kilimanjaro
Makamu mwenyekiti anatokea wapi ?
Katibu mkuu anatokea wapi? Songea au Shinyanga
Naibu katibu mkuu anatokea wapi? Zanzibar
Mwenyekiti wa vijana anatokea wapi? Mwanza
Makamu mwenyekiti wapi?
Katibu wa vijana wapi?

Niskuchoshe maana inaonekana hauna akili zaidi ya kukariri bwana zako wanachokuambia.

JINGA.
 
Hakuna chama hapo. Easy
 
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.

Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.

Mungu ibariki Bavicha.

View attachment 2105252
Karibu utakuwa kichaa sasa, wenzako wanatafuta DSA tu
 
Back
Top Bottom