Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

we
Ni chama flani kimekaa ki kujuana juana kupeana madili watu wanao fahamiana. Hakifai kuongeza nchi kaeni chini mje na mfumo mpya wa utawala muweke watu kutoka kona zote za Tanzania. Ila mnapoteza muda tu fanyeni kazi nyingine
we jamaa
 
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.

Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.

Mungu ibariki Bavicha.

View attachment 2105252Hao vichwa maji, hawakiamini kile wanachokihubiri. Ilimradi wamepewa buku 5 kwa wiki inatosha.
 
🤗🤗🤗
-woP.jpg
 
Back
Top Bottom