NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Muda wa katiba umefika nashangaa kwanini hawako tayari hadi sasa!!sio vizuri kubishana na ukweli na wakati!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaaNi chama flani kimekaa ki kujuana juana kupeana madili watu wanao fahamiana. Hakifai kuongeza nchi kaeni chini mje na mfumo mpya wa utawala muweke watu kutoka kona zote za Tanzania. Ila mnapoteza muda tu fanyeni kazi nyingine
Kidogo kidogo wameshakubaliMuda wa katiba umefika nashangaa kwanini hawako tayari hadi sasa!!sio vizuri kubishana na ukweli na wakati!!
We shoga nini mbona unaandika kama mpumbavu.Hakuna chama hapo. Easy
Pamoja Kamanda....inchi ni mali ya WaTanzania na siyo ya kakikundichocheeni kuni Mkuu safi sana
Ndio maana tupo hapa 🤣🤣Pamoja Kamanda....inchi ni mali ya WaTanzania na siyo ya kakikundi
Valangati la Katiba mpya hadi kielewekeHuu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.
Mungu ibariki Bavicha.
View attachment 2105252
Hakuna chama hapo. EasyWe shoga nini mbona unaandika kama mpumbavu.
Si utulie na chama cha mume wako,tuache sisi huku kusipo na chama.
Takataka.
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.
Mungu ibariki Bavicha.
View attachment 2105252Hao vichwa maji, hawakiamini kile wanachokihubiri. Ilimradi wamepewa buku 5 kwa wiki inatosha.