Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu kama ukibahatika kuvuka mpaka niletee PrimusNipo hapa mtaa wa Simba The Digital...BAVICHA moto wa kuotea mbaliii asante vijana wa Mpanda Ikola Mwese Kasekese nk ....
Tulitapeli nini na wapi?CHADEMA na CCM yote ni majizi tu. Kije chama kipya chenye sura mpaya sio nyinyi matapeli
Mkuu kama kawa Lubumbashi kushukia Ndola ....ezali awaaaMkuu kama ukibahatika kuvuka mpaka niletee Primus
Ni chama flani kimekaa ki kujuana juana kupeana madili watu wanao fahamiana. Hakifai kuongeza nchi kaeni chini mje na mfumo mpya wa utawala muweke watu kutoka kona zote za Tanzania. Ila mnapoteza muda tu fanyeni kazi nyingineTulitapeli nini na wapi?
Unaropoka vitu ulivyokaririshwa.Ni chama flani kimekaa ki kujuana juana kupeana madili watu wanao fahamiana. Hakifai kuongeza nchi kaeni chini mje na mfumo mpya wa utawala muweke watu kutoka kona zote za Tanzania. Ila mnapoteza muda tu fanyeni kazi nyingine
Hakuna chama hapo. EasyUnaropoka vitu ulivyokaririshwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA anatokea wapi? Kilimanjaro
Makamu mwenyekiti anatokea wapi ?
Katibu mkuu anatokea wapi? Songea au Shinyanga
Naibu katibu mkuu anatokea wapi? Zanzibar
Mwenyekiti wa vijana anatokea wapi? Mwanza
Makamu mwenyekiti wapi?
Katibu wa vijana wapi?
Niskuchoshe maana inaonekana hauna akili zaidi ya kukariri bwana zako wanachokuambia.
JINGA.
Hakuna chama hapo. Easy
Baraza la Vichaa la Chadema.Bavicha ni nini?
Akili yake haina akili hilo..lipuuzeTulitapeli nini na wapi?
Karibu utakuwa kichaa sasa, wenzako wanatafuta DSA tuHuu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.
Mungu ibariki Bavicha.
View attachment 2105252
Sasa taarifa na kichaa wapi na wapi ?Karibu utakuwa kichaa sasa, wenzako wanatafuta DSA tu
hiki chama ni zaidi yachama cha siasaHuu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.
Mungu ibariki Bavicha.
View attachment 2105252
chocheeni kuni Mkuu safi sanaNipo hapa mtaa wa Simba The Digital BAVICHA moto wa kuotea mbaliii asante vijana wa Mpanda Ikola Mwese Kasekese nk
AiseeBaraza la Vichaa la Chadema.