KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

Aisee mafuta,sukari ndio havishikiki doooh...Dar mafuta lita ni 7000 sijui ndoo itakua ngapi?[emoji134]
 
Daaaa!!hiyo mitaa ni hatari, la PALMA, DIGITAL, na VALENCIA!!, ukiwa maeneo hayo utafikiria labda upo kwenye visiwa vya jamaica huko!!!
Hapo ukute Frank Pama na Rite wamezungukwa na mademu kama Nane hivi. Ayseee huo mtaaa nouma sana utadhan uko mamtoni hukoooo vurugu zake
 
Back
Top Bottom