Habari iwafike kutoka CHADEMA. Baadhi ya makada wa chama hicho wamendelea kuonyesha upande katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa ambao utafanyika mwaka 2025.
Inavyoenyesha Mbowe ni kama time yake ya kuachia ngazi wengi wanatamani kumuona Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti wa chama!
====================
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi, Deus Josephat, ameonesha wazi msimamo wake wa kumtaka Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, Freeman Mbowe
kumwachia nafasi Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu , ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa Taifa.
Deus amesema kuwa Mbowe alishawahi kumuamini Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA katika kuwania urais wa Tanzania mwaka 2020, nafasi kubwa zaidi yenye changamoto za kitaifa, hivyo hana sababu ya kuzuia juhudi za Lissu kuongoza chama chenye kanda kumi pekee.
"Kama Mbowe aliridhia Lissu kugombea Urais wa Tanzania mwaka 2020, sasa leo anashindwaje kuongoza chama ambacho kina kanda zake kumi?" amesema Deus.
Katibu huyo amesisitiza kuwa wote, Mbowe na Lissu, wana historia ya kukipigania chama na wamepitia changamoto nyingi katika siasa za upinzani nchini. Hata hivyo, amesisitiza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji kiongozi mwenye sifa kama za Lissu.
"Mimi ninaamini kwa sasa tulipofikia kama nchi na siasa zake zilivyo, zinamuhitaji sana mtu kama Lissu atekeleze pale ambapo Mwenyekiti Mbowe aliachia," amesema.

huko ndani ya ccm walipo, wakimsikia Lissu kaptula zinakuwa tepetepe, sijui tangu lini ccm wakawa watetezi wa Mbowe, ni hatari sana. Yaani wapinzani wako wawe ndio mashabiki wa mwenyekiti? ni hatari sana.

Sio kila msemaji anafaa kuwa kiongozi.
Professor Lumumba angekuwa Rais.
Uongozi unataka Busara hekima upole na bashasha
Lissu ni msemaji na mchambuaji lakini anakosa hekima na busara.
Mbowe ni mtu wa Busara na hekima pia ni mtu mwenye convincing power.
Sijui kama katika mikutano yawo Chadema huambizana ukweli .Lissu alikuwa atowe hoja zake na mbinu ili chama kiwe vipi katika mikutano na kujadili na kama alifanya hivyo na Mbowe akapinga au hakutekeleza makubaliano ya baraza lawo ingesemwa mapema.
Na baraza kumuomba aondoke.
Kama Joe Biden alivyo tolewa na kumpisha Kamala Harris.
Lakini kama kimya kili pita na kuja sasa kuanza kupigania cheo basi hapa kuna viyta ilopangwa kwa makusudi.
huko ndani ya ccm walipo, wakimsikia Lissu kaptula zinakuwa tepetepe, sijui tangu lini ccm wakawa watetezi wa Mbowe, ni hatari sana. Yaani wapinzani wako wawe ndio mashabiki wa mwenyekiti? ni hatari sana.
Kwa mustakabali wa siasa na ustawi wa Tanzania TAL awe mwenyekiti CDM kuna watu ambao walikua wameapa kutokupiga kura ambao ni wengi sana karibia 60% watapiga tena kura 2025