A Akilibora JF-Expert Member Joined Nov 24, 2023 Posts 460 Reaction score 577 Dec 17, 2023 #21 Mimi nilizani amevamia eneo la mtu mwingine kumbe ni sababu ya kuweka kichaka? Mbona sababu haina mashiko? Kwa hiyo ?
Mimi nilizani amevamia eneo la mtu mwingine kumbe ni sababu ya kuweka kichaka? Mbona sababu haina mashiko? Kwa hiyo ?
A Akilibora JF-Expert Member Joined Nov 24, 2023 Posts 460 Reaction score 577 Dec 17, 2023 #22 Kwa hiyo asilime ili pabaki kuwa chaka/pori . Afadhali inakuwa ni ipi hapo sasa?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Dec 17, 2023 #23 BigTall said: ......Wananchi wa Mpanda walifyekewa mahindi kwa sababu ilizuiwa kupanda mazao marefu katikati mji. Soma zaidi >>> Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda Click to expand... sheria ipi ikitumika kufyeka hayo mahindi
BigTall said: ......Wananchi wa Mpanda walifyekewa mahindi kwa sababu ilizuiwa kupanda mazao marefu katikati mji. Soma zaidi >>> Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda Click to expand... sheria ipi ikitumika kufyeka hayo mahindi