stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Mtoto mwenye (10) Elias Mashaka, mkazi wa mtaa wa Rungwa, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amefariki dunia baada kujinyonga kwa kutumia kamba ya neti.
Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati mtoto huyo akiwa anatarajia kuanza mitihani yake ya kitaifa ya Darasa la Nne leo Oktoba 3, 2026.
credit bongo5
Facebook
www.facebook.com
Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati mtoto huyo akiwa anatarajia kuanza mitihani yake ya kitaifa ya Darasa la Nne leo Oktoba 3, 2026.
credit bongo5