stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Haya mambo wakati mwingine ni ya kiroho zaidi na sio kimwili kama tunavyozoea kuyaonaMtoto mwenye (10) Elias Mashaka, mkazi wa mtaa
wa Rungwa, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amefariki dunia baada kujinyonga kwa kutumia kamba ya neti.
Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati mtoto huyo akiwa
anatarajia kuanza mitihani yake ya kitaifa ya Darasa la Nne leo Oktoba 3, 2026.
credit bongo5
Kweli kabisa,miaka 10!!Haya mambo wakati mwingine ni ya kiroho zaidi na sio kimwili kama tunavyozoea kuyaona
Haya yote wanasababisha maccm,kama elimu ingekua Bure kabisa yasingetokea.Mtoto mwenye (10) Elias Mashaka, mkazi wa mtaa
wa Rungwa, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amefariki dunia baada kujinyonga kwa kutumia kamba ya neti.
Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati mtoto huyo akiwa
anatarajia kuanza mitihani yake ya kitaifa ya Darasa la Nne leo Oktoba 3, 2026.
credit bongo5
He’s way too young to even think about hanging himself.Mkuu tusiwachukulie watoto kama hawawezi kufanya haya mambo, umaskini ni mbaya sana
Mimi mkubwa ila nakumbuka maumivu niliyokua napata pale ambapo nikiomba pesa kwa ajili ya hitaji na ikakosekana
Kila kitu lawama kwa ccm, kama mataira vile.Haya yote wanasababisha maccm,kama elimu ingekua Bure kabisa yasingetokea.
RIP Dogo
Mwingine leo kazikwa moro, alijinyonga kwa kukosa kalamu na yeye alikua anaenda kufanya huo mtihani wa std 4He’s way too young to even think about hanging himself.
Inafikirisha sana asee.Mwingine leo kazikwa moro, alijinyonga kwa kukosa kalamu na yeye alikua anaenda kufanya huo mtihani wa std 4
Hilo wala si kosa la walimu, mnawaonea tu.Walimu wapuuzi sana! Kuna shule kule inaitwa sijui mtakuja sijui mtakwenda! Wanafunzi wa darasa la nne wamebiwa mchango wa chakula kwa siku mbili Elfu kumi!
Mtoto asiyetoa hali chakula,
Wanafunzi wapo more than 200!
Kaya zingine masikini iyo ni pesa nyingi sana..