Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mwandishi wa Habari wa EATV Rebeka Kinyunyu amefukuzwa kushiriki ziara ya Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa iliyoanza leo 12.12.2022 Mkoani humo bila kuelezwa sababu.
Aliyemfukuza ni Afisa habari Msaidizi Mkoa Katavi John Mganga ambae amedai kuwa amepokea maelekezo kutoka kwa katibu Tawala Mkoa wa Katavi Bw.Hassan Rugwa.
Kitendo hicho kimetafsiriwa kuwa ni uvunjwaji wa haki ya kupata taarifa na kuminya uhuru wa habari na ni udhalilishaji kwa Mwandishi Huyo.
Radio Free Africa