TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Tatizo linaanzia hapo ☝🏾, kuna tatizo la mwanahabari la kulazimisha au kuwepo kwenye msafara au vyovyote vile na wenye tip hawakutaki kwani lazima uende wewe hao waliokwenda siyo waandishi?.Kitendo hicho kimetafsiriwa kuwa ni uvunjwaji wa haki ya kupata taarifa na kuminya uhuru wa habari na ni udhalilishaji kwa Mwandishi Huyo.
Hakuna haki iliyovunjwa hapo (usilazimishe) kwenda usipotakiwa na mbona hamji kwenye event za Rais nini sababu ya kutokuja ambayo hauoni haki ikivunjwa?.
Akiruhusiwa kwenda na kurudi, akinyimwa bahasha ya kaki napo utaleta uzi "Mwandishi wa EATV anyimwa posho"