Katavi: Mwandishi atimuliwa ziara ya Waziri Mkuu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mwandishi wa Habari wa EATV Rebeka Kinyunyu amefukuzwa kushiriki ziara ya Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa iliyoanza leo 12.12.2022 Mkoani humo bila kuelezwa sababu.

Aliyemfukuza ni Afisa habari Msaidizi Mkoa Katavi John Mganga ambae amedai kuwa amepokea maelekezo kutoka kwa katibu Tawala Mkoa wa Katavi Bw.Hassan Rugwa.

Kitendo hicho kimetafsiriwa kuwa ni uvunjwaji wa haki ya kupata taarifa na kuminya uhuru wa habari na ni udhalilishaji kwa Mwandishi Huyo.

Radio Free Africa
 
Usawa huu unamnyima hivi hivi mwenzako bahasha ya khaki! Na huku ukifahamu fika sikukuu inakaribia!!

Katibu Tawala Mungu anakuona.
 
Basi huyo mwandishi lazima kaona mkubwa akiwa uchi!
 
Mavazi ya mwandishi aliyefukuzwa si ya kistarabu na ya kiheshma na kwenye ziara ya waziri mkuu mavazi ya mwandishi huyu mara zote yamekuwa si ya kuridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…