LGE2024 Katavi: Polisi yajibu madai ya Mgombea wa CHADEMA kupigwa na Diwani wa CCM, yasema alifanya fujo

LGE2024 Katavi: Polisi yajibu madai ya Mgombea wa CHADEMA kupigwa na Diwani wa CCM, yasema alifanya fujo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Snapinsta.app_468584874_767102968941636_1413645568349408068_n_1080.jpg

Snapinsta.app_468482297_1098981871880957_6930345602086705960_n_1080.jpg
 
Sheria inasema mtu alifanya fujo anapigwa na mtu mwingine

Hawa wanabahati Sana wanachezea watu wasiojua Sheria na katiba Kuna siku tutafika tu

Kama mauaji yamishakingiwa kifua na mkuu wa nchi ya Kongo pale aliposema kifo ni kifo tu ,hakuna kulia lia maana wamekufa wengi kwa nini huyo iwe ajabu kufa.

Kuanzia siku yule mama Monduli alipotoa kauli na tamko hilo la kuhalalisha mauaji kwa wapinzani wanaopinga serikali na Frelimo hali imeendelea kuwa mbaya sana .

Na Frelimo wasifikiri wapo salama .
Hao akina Muhsini wa kule Geniva ya Afrika wanaoingia kwenye kituo cha kupigia kura na visu na kutishia mpaka wasimamizi ni genge lenye nia mbaya sana na hawapo kwa bahati mbaya .
Wanachama wa Frelimo wapenda haki wawe makini sana kuna Genge nyuma ya Papa Mshengeraaa . Huyo atawamaliza hata Frelimo wenye ndoto ya kuja kuikanyaga ikulu huko mbeleni. Mtamalizwa na huyu Mtu mwenye roho mbaya hata kwa kumwangalia usoni na Udini na ufamilia . Huyu ni ndugu moja na Shetani na ndiye shetani aliyeonekana kule Msumbiji.

Wanapinzani na chama Tawala kule Kongo wenye kulipenda Taifa lao unganeni 2025 muhakikishe Huyo Mitano tena harudi ikulu .Kuna Mkwe wa Serikali ya Kongo ameshainguwa na pepo la madaraka . Ameshaona ni rahisi sana kuchukua nchi kwa katiba hii . Ana Machawa wake wenye sura ya kitalebani wataua watu sana mpaka ndani ya chama chake ili tu abaki peke yake na kwa pesa waliouza mali za Kongo atahonga wajumbe 2030 atapita na kulinda kiti cha familia ya Mpenzi wake .
 
Back
Top Bottom