Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanaotaka kuanzisha vyama vipya unataka wafanyeje ?Lile "katazo" kimsingi ni kama halipo. Diwani na Mbunge yupo free kabisa kufanya mkutano kwenye eneo analoliwakilisha. Ofcourse atapaswa kuandika barua na kuomba "kibali" kutoka kwa OCD/OCS wa eneo husika ili apewe ulinzi baada ya polisi kufanya intelijensia na kujiridhisha kwamba hakuna hatari.
Hakuna haja ya kusubiri tamko la Mama. Madiwani na Wabunge (baada ya vikao vya Bunge kumalizika) wao wafanye mchakato wa mikutano waone kama kuna mtu atawabugudhi.
Hakuna anayelazimishwa wala hakuna atakayesombwa na loriMnataka muwapotezee watu muda wao wa kufanya kazi kwa kuwakusanya na kuwapigia porojo tu, ilhali nyie mnalipwa wao wakiambulia patupu.
Hapo malengo yenu ni perdiem na ufadhili wa operesheni zisizokua na tija kama , operesheni sangara n.k.Hakuna anayelazimishwa wala hakuna atakayesombwa na lori
Kwani liliwekwa katazo la kuanzisha vyama vipya?Wale wanaotaka kuanzisha vyama vipya unataka wafanyeje ?
Umepigwa ganzi na mwendazake wewe. Subiri sasa uone demokrasia halisi inakuja. Demokrasia halisi ya kikatiba haijaweka hayo unayoandika. Mikutamo ya siasa ni sehemu ya demokrasia katika katiba. Mmedanganywa hadi ubongo umegoma kufikiri. Tulieni sasa nchi iendeshwe kidemokrasia.Ukiniuliza Mimi nitasema hivi, siasa ziruhusiwe Ila zisiwe za majukwaani, majukwaani ni Hadi nyakati za uchaguzi
Hii ya majukwaani Kwa jinsi Dunia ilivyotutangulia miaka Elfu Mbele, tutapotezeana muda wa kupiga kazi
Siasa na Uhuru wa kuongea, uwepo Ila si mabarabarani na majukwaani
Tuchapeni kazi,
Huo udikteta wako haumo kwenye katibaKwani liliwekwa katazo la kuanzisha vyama vipya?
Lakini personally sioni kama kuna haja ya mtu au kikundi kuanzicha chama kipya kabisa cha siasa. CHADEMA, CUF na vile vingine vya kwenye briefcase vinatosha unless ofcourse hilo kundi jipya lengo ni kupiga hela na sio kuja kuleta upinzani wenye tija
Kwa nini wazomewe?Yaani mnataka muanze kuwazomea Madiwani na Wabunge wetu hilo bado kidogo
It was my personal view. Nothing to do with KATIBA.Huo udikteta wako haumo kwenye katiba
Naunga mkono hoja. Tena ikiwezekana kama rais aliyepo madarakani anafanya vizuri vyama vyote vimuunge mkono ili tuharakishe kufika nchi ya Kanaani.Ukiniuliza Mimi nitasema hivi, siasa ziruhusiwe Ila zisiwe za majukwaani, majukwaani ni Hadi nyakati za uchaguzi
Hii ya majukwaani Kwa jinsi Dunia ilivyotutangulia miaka Elfu Mbele, tutapotezeana muda wa kupiga kazi
Siasa na Uhuru wa kuongea, uwepo Ila si mabarabarani na majukwaani
Tuchapeni kazi,
Intelijensia!!!!!!!!!Lile "katazo" kimsingi ni kama halipo. Diwani na Mbunge yupo free kabisa kufanya mkutano kwenye eneo analoliwakilisha. Ofcourse atapaswa kuandika barua na kuomba "kibali" kutoka kwa OCD/OCS wa eneo husika ili apewe ulinzi baada ya polisi kufanya intelijensia na kujiridhisha kwamba hakuna hatari.
Hakuna haja ya kusubiri tamko la Mama. Madiwani na Wabunge (baada ya vikao vya Bunge kumalizika) wao wafanye mchakato wa mikutano waone kama kuna mtu atawabugudhi.
Mwambie huyo. Wameanza kubadirika taratibu hawa. Demokrasia lazima ichukue mkondo wake.Mbona Magufuli alipokuwepo hamkumwambia haya?
Badirika tu mkuu. Usisubiri mama aseme, utakua umechelewa.As long as diwani/mbunge kaomba kibali na kupata go ahead, hakuna virungu
Polisi waliweka hilo takwa ili waweze kuprovide security bahati mbaya Magufuli nae akapita humohumo.
Ila wewe upo kila mahali unapotaka.Ukiniuliza Mimi nitasema hivi, siasa ziruhusiwe Ila zisiwe za majukwaani, majukwaani ni Hadi nyakati za uchaguzi
Hii ya majukwaani Kwa jinsi Dunia ilivyotutangulia miaka Elfu Mbele, tutapotezeana muda wa kupiga kazi
Siasa na Uhuru wa kuongea, uwepo Ila si mabarabarani na majukwaani
Tuchapeni kazi,
Ccm hoi
Na wewe hapo Lumumba nani anakufokoa,maana swala la wewe kuwa shoga mwandamizi liko wazi,tueleze tu kwa sasa nani anakupuliza?Lisu anamabwana ubelgiji, Lema anamabwana Canada, Mbowe yuko Dubai.
Bavicha kutwa kusifia rais Samia, je hiyo mikutano ya siasaya chadema nani ataiendesha?
Subiri utamsikia.Mikutano hapana, Hilo mama hajasema. Subirini 2025
Ccm watafanya hakuna shida, shida ipo kwenye vyama vingine....
Virungu vya Polisi na wale siafu FFU lazma vipate kazi siku hiyo, bora liondolewe kwa taarifa rasmi.