Katazo Batili la Mikutano ya kisiasa liondolewe ili kurudisha nchi yetu kwenye mapambano ya hoja

Duuhh Consultant
 
Badirika tu mkuu. Usisubiri mama aseme, utakua umechelewa.
Ndicho nilichosema. Hii tabia ya kuombaomba kila kitu na kusubiri mtu aseme ndo upate haki yako sio sawa

Mwenye kutaka kufanya mkutano yeye afuate taratibu tu na kwa sasa hakuna mtu ataweka kiwingu. Hakuna haja ya kumsubiri Mama kutengua kauli iliyotolewa jukwaani. Huenda hata hakumbuki kitu hicho

Cha kuomba mama atoe tamko na amri ni hii haja ya kutumia VPN kwenye kuaccess baadhi ya social media
 
It was my personal view. Nothing to do with KATIBA.

Harafu hakuna aliyezuiliwa kuanzisha chama kipya cha siasa kama ametimiza vigezo na masharti. Mkitaka mnaweza kuwa na vyama 200
Tulia hivyo hivyo.
 
Katiba si matakwa ya mtu binafsi , hiyo ndio msahafu wetu na imeruhusu mikutano ya hadhara
Tajiri, na siku nyingine wakitokea watu wanaowaacha mfanye mpendayo bila kuvunja sheria msiwaite tena “Dhaifu “.
 
Nimekuelewa mkuu. Nadhani tulikua pabaya kidemokrasia, sasa tuungane tujenge nchi yetu.
 
Akuna mikutano.muacheni mama achape kazi.mnataka muanze kuhamasisha migomo na maandamano ya kipuuzi kwenye majukwaa ya mikutano.
 
Mikutano ya siasa ni ujinga mtupu. Kwanza imejaa fitna na uongo mwingi. Tunaweza kuambiwa kuwa waziri mkuu ni fisadi papa, lkn 2025 akinunua viongozi wa upinzani gia itabadilishwa fasta na kuitwa mkombozi wa watanzania kama ilivyotokea 2015
Polepole/Channel Ten ndio wasema kweli, wapenzi wa 'mungu'
 
Tajiri, na siku nyingine wakitokea watu wanaowaacha mfanye mpendayo bila kuvunja sheria msiwaite tena “Dhaifu “.
Umeniita ninavyopaswa kuitwa , na ukiona mtu kabaki na utajiri wake hadi kipindi hiki ujue huyo ni mwamba
 
 
Especially baada ya chadema kuingia madarakani...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nasubiri mseme "bora ya Magufuli"..

Baada ya JK mlimuumbia mapambio JPM hadi kusema anatumia sera za chadema... baada ya muda mka make u turn...

Mmeanza kunyooka , Tutaelewana tu
 
Kwa vile hakukuwa na tamko rasmi kisheria kupiga marufuku shughuli halali za vyama vya siasa, ni wajibu wa vyama hivyo kuanza shughuli hizo bila kusubiri "ruksa rasmi."

ACT-Wazalendo sio tu wametangaza kushiriki uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe bali pia mgombea wao hajazuiliwa kuchukua fomu, na hata pingamizi alilowekewa na mgombea wa CCM limetupwa.
 
Mkuu Kwa sasa ACT ni sehemu ya watawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…