A
Anonymous
Guest
Wafanyakazi wa Chuo Cha Mkwawa tunapitia Changamoto kubwa ya usafiri wakati wa kwenda na kurudi kazini.
Uongozi wa Chuo umeweka Katazo la Pikipiki (Bodaboda), Ikiwa mfanyakazi anakuja na Pikipiki asubuhi inamlazimu ashuke njiani, Mwanzoni mwa Geti then atembe zaidi ya Kilomita 1, kwenda Ofisini,
Jambo hili ni kero Kwa wafanyakazi.
Lengo la Katazo hili siyo zuri Kwa ustawi wa Taasisi, badala ya kusonga mbele inarudisha nyuma maendeleo.
Tunaomba Uongozi uliangalie vizuri.