Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Makelele ya boslda yanaondoa usikivu wa wanafunzi kujifunza, usalama unakuwa mdogo maana boda baadhi yao kidogo ni wezi, lakini nidham ya boda mnaijua anaweza kuanza norinda pbeni kuna darasa linaendeleaWafanyakazi wa Chuo Cha Mkwawa tunapitia Changamoto kubwa ya usafiri wakati wa kwenda na kurudi kazini.
Uongozi wa Chuo umeweka Katazo la Pikipiki (Bodaboda), Ikiwa mfanyakazi anakuja na Pikipiki asubuhi inamlazimu ashuke njiani, Mwanzoni mwa Geti then atembe zaidi ya Kilomita 1, kwenda Ofisini,
Jambo hili ni kero Kwa wafanyakazi.
Lengo la Katazo hili siyo zuri Kwa ustawi wa Taasisi, badala ya kusonga mbele inarudisha nyuma maendeleo.
Tunaomba Uongozi uliangalie vizuri.