KERO Katazo la bodaboda Chuo cha Mkwawa linatulazimu wafanyakazi kushuka getini na kutembea umbali mrefu hadi ofisini

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Makelele ya boslda yanaondoa usikivu wa wanafunzi kujifunza, usalama unakuwa mdogo maana boda baadhi yao kidogo ni wezi, lakini nidham ya boda mnaijua anaweza kuanza norinda pbeni kuna darasa linaendelea
 
Faida
.kupunguza ajali
.kupunguza kelele
.mazoezi ya mwili
.kupunguza msongamano
.Kupunguza wizi

Hasara
._________
._________
 
Mazoezi magonjwa yasioambukiza ni janga .. kateni futa hilo
 
Mimi nafikiri wangeruhusu pikipiki za wafanyazi na wazitengee eneo maalum la kupaki ili watu wasiende nazo hadi mlangoni mwa jengo la utawala (pengine 100m)
na pengine pikipiki chache binafsi zipewe kibali ili wanaoingia wajulikane na wapewe maeneo maalum ya kusubiria abiria (sio kuzunguka zunguka huko mabwenini/lecture rooms)

Pikipiki ni msaada ila zikiachwa kiholela kwenye taasisi ya Elimu huleta usumbufu/kelele kwani zinafika kila mahala/ madarasani/maofisini nk nk na pia huweza kuchangia wizi wa vitu vidogo vidogo
 
"Wafanyakazi wa serikalini nashangaa hamna magari
Yaani hata mikweche? He-he! Hii ni hatari"
 
Safiiiiii .....fanyen mazoezi unakuta lijitu limejaza Tumbo kubwa mimavi mavi tu tumboni piga mazoezi achana na boda boda
 
Reactions: Tui
Nchi ya malalamiko.Sitashangaa akija mwingine na kusema biskuti za sasa ngumu wanashindwa kuzitafuna.Watengenezewe laini wasiumize meno yao.
 
Kutoka getini hadi utawala haifiki 1km. Wewe ni mvivu uliyekubuhu.
 
Reactions: Tui
Halafu aliyetoa huu Uzi ni UNAWEZA Kuta ni Msomi kabisa Tena Lecture!!
Mkwawa nimesoma hapo kuanzia getini siyo mbali kihivyo, swala je wale wanachuo wanaotoka kule kwenye hosteli za Makaburini wasemeje?
Acheni uvivu bana, Kila kitu ni kulalamika tu.
 
Reactions: Tui
Shida nini sasa? Si ni mazoezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…