Katazo la Bodaboda na Bajaji Dsm litakuja na pointi 3 za mezani

Kuna wakati Godbless Lema aliwqhi kusikika akisema kazi ya Bodaboda sio kazi, kaul8 hii ilinitafakarisha sana, kwanza nilijaribu kuingia kwenye mawazo yake ili kuhukumu kwa haki. Ikumbukwe kuwa katika Jamii mtu anaweza kukushauri sio kwa jinsi inavyopaswa bali kwa jinsi yeye anavyoliona, na jinsi mtu anavyoliona jambo ni kutokana na uzoefu wake, exposure yake, ujuzi wake, utu wake, upendo wake na ujasiri wake. Baada ya kuyazingatia hayo nikathibitisha kuwa Lema anaweza alikua sahihi lakini watu wakachaguq kutoelewa, wakaaminishwa wasielewe nk nk.

Sasa kwanini tuko hapa tulipo, Wimborne mkubwa na ulio mkuu katika jamii ni vijana wajiajiri vijana wajiari,unategemea kwamba Wimborne kama huo ungeambatana na mawekezo ktk kutengeneza Fursa za makusudi mf badala ya Serikali kusema wanatoa mikopo kwa vijana waunde vikundi wapate mikopo, kumbe tungewekeza kwa vijana wenye Wazo/ Mawazo, wazo 1 linaweza kubeba vijana 300, ukipata vijana wenye mawazo 100, unaweza ukaguwa watu 30,000 ambao wana wategemezi nyuma ya wastani wa watu 5 kila 1,do the Maths.

Hakuna mtu anapanga kuwa Bodaboda is ipo isipokuwa hali ya uchumi na wimbo tunaoimbiwa kila siku tujiajiri ndio unatufikisha hapa. Lakini la muhimu pia ni ukweli wateja na jamii wanategemea sanausafiri wa Bodaboda na Bajaji. Kwahiyo ukirudi tena upande wa pili kwanini Jamii kwa ukumbwa wake inategemea sana usafiri huo, hiyo mada nyingine.

Kwakua usafiri huu unagusa hisia na sehemu kubwa ya Jamii, Bodaboda na Bajaji wamekuwa wakifanya kazi zao kwa uhuru, na pindi wanapokua wanahitajika kwaajili ya mikusanyiko na hamasa mbalimbali kwakweli hawako nyuma.

Ikiwa hivyo ndivyo nini kinatokea, wajibu wao umetengeneza haki, kama wanatumika nao wanajitumia,imekua Ajira, imekua mkombozi kwao lakini kwa jamii pia ktk suala zima la usafiri.

Sasa basi, sasahivi kuna katazo Jijini Dsm la Bodaboda na Bajaji kuingia ktkt ya Mji, na ufuatiliaji umeanza, ni jambo jema kwasababu naamini mamlaka haziwezi kuja na katazo lisilo na mantiki. Kinachonifikirisha mimi ni Je Jamii inayotegemea usafiri huu itakuaje, watoa huduma hawa ambao walishaaminishwa inakuaje mustakabari wa mabadiliko hayo kwenye vipato, mikopo, huduma kwa familia ,tukumbuke tulishawaambia hiyo ni Ajira na watoe huduma kokote tena washiriki na ulinzi shirikishi.

Hapa ndio narudi kwenye kichwa cha habari cha uzi huu, au ni ushindi wa meaning unaandaliwa, katazo linatoka, amsha amsha inatokea ya kamata kamata, halafu anajitokeza mkombozi 1 na kutoa tamko Bodaboda na Bajaji ni ndugu zetu , watu wetu waachweee watoe huduma kwa uhuru iwe katikati au kwenye kona ya Mji wasisumbuliwe. Watu wanapokea mkombozi anachukua pointi 3, halafu sasa itabidi mahali mahali au ikifika nyakati nyakati inabidi nao walipe fadhila, hasa kwenye hamasa nk nk nk nk. Linatatwa tatizo linaletwa halafu unaletwa ufumbuzi watu wanasepa na kijiji pointi 3 kwapani....till next time, ooh.
Maelezo mengi ysmehslibu uzi na point
 
IFIKE MAHALI TUJIULIZE HIZI MBWEMBWE TUNAFANYA KWA FAIDA YA NANI WAKATI WATU WA MJI HUSIKA NI MASKINI WA KUTUPWA???!!!

HUKO MJINI WAFANYAKAZI WA HAYO MAGOROFA HAWALI KWENYE HIYO MIGAHAWA YA HUKO POSTA.WENGI UNAKUTA WANAPIGA PASI NDEFU ,AU WANAKULA KWA MAMA LISHE WANAOUZA VYAKULA KWENYE MANDOO😁😁😁😁LABDA WALE EXECUTIVES AMBAO NI ASILIMIA CHINI YA MOJA NDO WANAKULA MIGAHAWANI.

WAAFRICA NI LINI TUTAACHA KUFAKE MAISHA??!!

SHIDA YA NCHI MASKINI NI KUJIPA UMUHIMU WASIOKUWA NAO.HAO WAFANYAKAZI WA POST WENGI WANAVAA NGUO ZA MITUMBA🤗🤗🤗

YAANI KWA KIFUPI HUKO PANAPOITWA MJINI NI VICHEKESHO.WAFANYAKAZI WA HIZO OFISI ZILIZOPO GOROFANI WAMEPAUKA BALAA.SOLI ZA VIATU UKIANGALIA NI HUZUNI.

SASA KATIKA MUKTADHA KAMA HUO HIZO STANDARDS NI ZA NINI WAKATI MIUNDOMBINU YA USAFIRI NI HOVYO,HAITOSHI NA NI PLANNEDLESS.HAO MAKAPUKU WANAOFANYA KAZI POST MNATEGEMEA WATARUDIJE KWENYE VIOTA VYAO HUKO BONYOKWA,CHANIKA,KIMARA,GONGOLAMBOTO NK.

STANDARDS ZA ULAYA ZINAAKISI MIUNDOMBINU YAO YA TEKSI,MABASI YA USAFIRI WA UMMA NA VIPATO VYA WATU WA HUKO MIJINI KWAO.ILA KWA AFRICA HAWA WASOMI FEKI SIJUI HUWA WANAFIKIRIAJE KWAKWELI.

📌📌📌UAFRIKA NI LAANA KUU YA DUNIA!!!
 
KATIKA HALI YA KAWAIDA BODABODA HAIKUTAKIWA KUWA CHOMBO CHA KUFANYIA BIASHARA ZA USAFIRISHAJI WA BINADAMU.

WATU WALIOTAKA KUFANYA HIYO SHUGHULI WALITAKIWA WATUMIE SALOON CARS TENA ZICHAGULIWE SPECIAL KWAAJILI YA BIASHARA HIYO TU HII INGEPUNGUZA UCHAFU WA BAJAJI NA BODABODA MJINI.

SABABU INAYOPELEKEA MJI KUWA CONGESTED NI HALI YA KURUNDIKA VITU SEHEMU MOJA( KARIAKOO).MBADALA WAKE WANGEJENGA MASOKO MATATU MENGINE NA KUDIVESIFY POPULATION JENGO KAMA LA UBUNGO LENYE MADUKA 2000 LINGEJENGWA KATIKA WILAYA ZA TEMEKE,ILALA NA KINONDONI.

PIA WATU BINAFSI WANGEKATWAZWA KUJENGA HOVYO MAFREMU YA BIASHARA KWENYE MAENEO YA MAKAZI.NA KWA WALE WENYE KUTAKA KUFANYA BIASHARA BASI WAFUNGUE MADUKA MAKUBWA MFANO WA SUPPERMARKERT. HII INGESAIDIA HATA KATIKA UKUSANYAJI WA KODI NA MPANGO MIJI PIA KUONDOA WAMACHINGA BARABARANI.SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA ZINGEKUWA VERY STRICT.

KUONGEZA BARABARA ZA MCHEPUO MFANO WA NJIA YA GOBA NA ILE YA KINYEREZI MALAMBA MAWILI NJIA HIZI ZINGEKUWA NYINGI ILI KUPUNGUZA MAGARIA YANAYOPITA NJIA YA MANDELA, MOROGORO ROAD NA BAGAMOYO ROAD.
 
Kuna wakati Godbless Lema aliwqhi kusikika akisema kazi ya Bodaboda sio kazi, kaul8 hii ilinitafakarisha sana, kwanza nilijaribu kuingia kwenye mawazo yake ili kuhukumu kwa haki. Ikumbukwe kuwa katika Jamii mtu anaweza kukushauri sio kwa jinsi inavyopaswa bali kwa jinsi yeye anavyoliona, na jinsi mtu anavyoliona jambo ni kutokana na uzoefu wake, exposure yake, ujuzi wake, utu wake, upendo wake na ujasiri wake. Baada ya kuyazingatia hayo nikathibitisha kuwa Lema anaweza alikua sahihi lakini watu wakachaguq kutoelewa, wakaaminishwa wasielewe nk nk.

Sasa kwanini tuko hapa tulipo, Wimborne mkubwa na ulio mkuu katika jamii ni vijana wajiajiri vijana wajiari,unategemea kwamba Wimborne kama huo ungeambatana na mawekezo ktk kutengeneza Fursa za makusudi mf badala ya Serikali kusema wanatoa mikopo kwa vijana waunde vikundi wapate mikopo, kumbe tungewekeza kwa vijana wenye Wazo/ Mawazo, wazo 1 linaweza kubeba vijana 300, ukipata vijana wenye mawazo 100, unaweza ukaguwa watu 30,000 ambao wana wategemezi nyuma ya wastani wa watu 5 kila 1,do the Maths.

Hakuna mtu anapanga kuwa Bodaboda is ipo isipokuwa hali ya uchumi na wimbo tunaoimbiwa kila siku tujiajiri ndio unatufikisha hapa. Lakini la muhimu pia ni ukweli wateja na jamii wanategemea sanausafiri wa Bodaboda na Bajaji. Kwahiyo ukirudi tena upande wa pili kwanini Jamii kwa ukumbwa wake inategemea sana usafiri huo, hiyo mada nyingine.

Kwakua usafiri huu unagusa hisia na sehemu kubwa ya Jamii, Bodaboda na Bajaji wamekuwa wakifanya kazi zao kwa uhuru, na pindi wanapokua wanahitajika kwaajili ya mikusanyiko na hamasa mbalimbali kwakweli hawako nyuma.

Ikiwa hivyo ndivyo nini kinatokea, wajibu wao umetengeneza haki, kama wanatumika nao wanajitumia,imekua Ajira, imekua mkombozi kwao lakini kwa jamii pia ktk suala zima la usafiri.

Sasa basi, sasahivi kuna katazo Jijini Dsm la Bodaboda na Bajaji kuingia ktkt ya Mji, na ufuatiliaji umeanza, ni jambo jema kwasababu naamini mamlaka haziwezi kuja na katazo lisilo na mantiki. Kinachonifikirisha mimi ni Je Jamii inayotegemea usafiri huu itakuaje, watoa huduma hawa ambao walishaaminishwa inakuaje mustakabari wa mabadiliko hayo kwenye vipato, mikopo, huduma kwa familia ,tukumbuke tulishawaambia hiyo ni Ajira na watoe huduma kokote tena washiriki na ulinzi shirikishi.

Hapa ndio narudi kwenye kichwa cha habari cha uzi huu, au ni ushindi wa meaning unaandaliwa, katazo linatoka, amsha amsha inatokea ya kamata kamata, halafu anajitokeza mkombozi 1 na kutoa tamko Bodaboda na Bajaji ni ndugu zetu , watu wetu waachweee watoe huduma kwa uhuru iwe katikati au kwenye kona ya Mji wasisumbuliwe. Watu wanapokea mkombozi anachukua pointi 3, halafu sasa itabidi mahali mahali au ikifika nyakati nyakati inabidi nao walipe fadhila, hasa kwenye hamasa nk nk nk nk. Linatatwa tatizo linaletwa halafu unaletwa ufumbuzi watu wanasepa na kijiji pointi 3 kwapani....till next time, ooh.
Tatizo linatengenezwa, baada ya muda linatatuliwa na mtatuzi anaonekana shujaa na kuombwa kuungwa mkono kwenye uchaguzi.
 
Ambaye ametoka kapa kama mimi alike hapa maana nimerudia kusoma tena lakini bila bila
 
Kuna Mkutano Chief. Baada ya hapo wataendelea na kazi kama kawa
 
Back
Top Bottom