aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Mar 3, 2018 #1 hizo nyimbo zilizokatazawa je zitakuwepo kwenye hiyo album? Au ataifanyia masahihisho?
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Mar 3, 2018 #2 Wasiliana na wahusika watakupa jibu sahihi.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Mar 3, 2018 #3 Kijana wa Kitanzania amewekeza pesa yake nyingi kutoa nyimbo alafu anakuja Wakudadavuwa anatafuta masifa ya kipuuzi kupitia kazi za watu anafungia tu na akitoka hapo anaenda wizarani kunywa chai na Papii Kocha na Baba yake.
Kijana wa Kitanzania amewekeza pesa yake nyingi kutoa nyimbo alafu anakuja Wakudadavuwa anatafuta masifa ya kipuuzi kupitia kazi za watu anafungia tu na akitoka hapo anaenda wizarani kunywa chai na Papii Kocha na Baba yake.
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Mar 3, 2018 #4 tatizo liko kwenye video si audio kwa hiyo hakuna shida
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,495 Reaction score 29,872 Mar 3, 2018 #5 Kwenye album zitakuwepo kwa sababu haya makatazo sana sana yanaishia kwenye kucheza ngoma husika redioni/tv
Kwenye album zitakuwepo kwa sababu haya makatazo sana sana yanaishia kwenye kucheza ngoma husika redioni/tv