Katazo la hallelujah na wakawaka na uzinduzi wa album 16 march

Katazo la hallelujah na wakawaka na uzinduzi wa album 16 march

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
hizo nyimbo zilizokatazawa je zitakuwepo kwenye hiyo album? Au ataifanyia masahihisho?
 
Wasiliana na wahusika watakupa jibu sahihi.
 
Kijana wa Kitanzania amewekeza pesa yake nyingi kutoa nyimbo alafu anakuja Wakudadavuwa anatafuta masifa ya kipuuzi kupitia kazi za watu anafungia tu na akitoka hapo anaenda wizarani kunywa chai na Papii Kocha na Baba yake.
 
tatizo liko kwenye video si audio kwa hiyo hakuna shida
 
Kwenye album zitakuwepo kwa sababu haya makatazo sana sana yanaishia kwenye kucheza ngoma husika redioni/tv
 
Back
Top Bottom