popiexo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 742
- 183
Mpaka anaomba uspika alikuwa mbunge wa bunge la Africa mashariki, Huyu maza ni wazamani kinoma. Hatakuwa na jipya zaidi ya kulinda system iliyomlea. Ni miongoni mwa wale watu wanaoogopa na kuyakataa mabadiliko kwa kifupi ni kimeo kingineWadau nimejaribu kutafuta CV ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa CCM walipitishwa kuwania nafasi ya Usipika wa bunge la 10.
Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi CV za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya Sam Sita