Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?
Kwanini kapewa?
tupacFIED
Ahsante kwa ufafanuziSi kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.
Ahsante kwa ufafanuzi
Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?
Si kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.
Wanaona hawezi muziki,ila anatengeneza pesa na unaendelea kufanya collabo kibao. Nafikiri wakati wa sasa watu hawatazami zaidi lyrics bali ubunifu wa vitu vingi Sana.
Mtazame mtu Kama Bob Shmurda ni type ya wasanii hawa