KaThread fulani Amaizing

KaThread fulani Amaizing

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?
 
Kwanini kapewa?
tupacFIED
 
Last edited by a moderator:
Kwanini kapewa?
tupacFIED

Si kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.
 
Last edited by a moderator:
Si kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Picha tafadhali
Young-Thug.jpg
 
Wanaona hawezi muziki,ila anatengeneza pesa na unaendelea kufanya collabo kibao. Nafikiri wakati wa sasa watu hawatazami zaidi lyrics bali ubunifu wa vitu vingi Sana.
Mtazame mtu Kama Bob Shmurda ni type ya wasanii hawa
 
Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?

Usipende kuamini kila unachokiona katika mitandao just do a short research even before posting.
Mtandao uliotoa hiyo habari unatafuta traffics kupitia habari za Uongo.

Uliisha report kwamba Mwanadada Miley Cyrus amepima UKIMWI nakukutwa yuko positive.

Na pia ulireport kua Watu waliokufa na Ebola nchi za magharibi wameanza kufufuka kitu ambacho sio.
No, Bill Gates Didn't Offer Young Thug Millions to Stop Making Music

Just try to think out of the box, Thug anapata pesa kiasi gani mpaka Bill gate ampe 9Mil usd ili aache muziki ?
Lil wayne mwenyewe anaidai Cash money 51Mil USD pesa ambazo ata akipewa hawezi kuacha muziki. It's all about addiction not only Fame

snipa
 
Last edited by a moderator:
Si kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.

Sio sanaa(fasihi) ni website ya Udaku kama magazeti ya shigongo Huzles.com illitoa hiyo habari sio kama dis ila nikutafuta Traffics.
 
Wanaona hawezi muziki,ila anatengeneza pesa na unaendelea kufanya collabo kibao. Nafikiri wakati wa sasa watu hawatazami zaidi lyrics bali ubunifu wa vitu vingi Sana.
Mtazame mtu Kama Bob Shmurda ni type ya wasanii hawa

Trap southern rap juuuu nimekuelewaa sanaa mwananguu watuu wanapigaaa elaskuizii ndomzikii unaoimbwa na vijana namuelewa sana thuggerthugger
 
Back
Top Bottom