Kati kerenge is no more

Captain Phillip

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
894
Reaction score
538
Yule nguli wa mambo ya Corporate relations tulifanya naye Kazi Tanga Cement then akaenda Barclays ametutoka usiku wa kuamkia leo.

RIP Kati you have gone to soon
 
Aliugua tu kwa muda mfupi but the conditioned got worse last weekend kabla hajafariki usiku wa kuamkia leo.
 
Tunaomba cv yake ili tuungane na wafiwa kuomboleza!!!
 
Tunaomba cv yake ili tuungane na wafiwa kuomboleza!!!

Mkuu ukim-google utapata kila kitu kuhusu yeye but in short she was one of ya wanawake wachache waliokuwa very inspiring kwa wadada wengine kwenye tasnia ya CR na PR.She was very succesful kwenye career yake.
 
RIP . Umefika wakati sasa hiyo kazi ya PR hapo Barclays apatiwe mtanzania na sio mkenya wala mzimbabwe kwani tunahitaji ajira kwa watanzania.
 
Mmh poleni, unfortunately got to hear about after her death!
 
UUUUUUUWIIEEEEE jamani
KATI!!
REST IN PEACE!!!
Thats all i can say. Kati was .........siwezi hata sema jamani..one of the best labda itafaa!:A S cry:
 
Yule nguli wa mambo ya Corporate relations tulifanya naye Kazi Tanga Cement then akaenda Barclays ametutoka usiku wa kuamkia leo.

RIP Kati you have gone to soon

gooosh, i love her na alikuwa akiniinspire sana. Rest in Peace Kati
 
Barclays mabalaa yameandama....ukata mkubwa ndani ya benki.....wafanyakazi kufukuzwa matawi kufungwa na majuzi nako fixed rates mpaka boss wao mkubwa kubwaga manyanga....na sasa dada kati nae anaongeza msiba ndani ya bank....anyway R.I.P da' kati
 
Poleni sana wafiwa kwa msiba..
 
Kati Kerenge tulipiga naye mzigo General Tyre (EA) Ltd.Ni kati ya wanadada wachache wenye uwezo mkubwa sana.

RIP Kati Karenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…