Kati kerenge is no more

Kati kerenge is no more

RIP . Umefika wakati sasa hiyo kazi ya PR hapo Barclays apatiwe mtanzania na sio mkenya wala mzimbabwe kwani tunahitaji ajira kwa watanzania.


Kati Kerenge ni Mtanzania halisi. Marehemu baba yake alikuwa Mjita kutoka Musoma na mama yake ni Muhaya kutoka Bukoba
 
R.I.P Kati...Nakumbuka mwaka 2009 tulikuwa wote kwa ziara ya Tanga Cement......Pole familia..
 
Huyu binti hakuwa Mkenya bali Mtanzania, Mjita, mama yake ni Mnyambo. Baba yake ni the late Dr. Esrom Kerenge mtoto wa Mzee Jeremia Kernge wa Barabara ya Uhur Musoma mjini!!!
 
Back
Top Bottom