Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Naomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish, je utofauti wake ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu maziwa Bora ni ya ng'ombe wa kienyejiNaomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish,je utofauti wake ni upi?
Ama Haa Ni Ya Ngamia Al Mudhishyote mazuri ila al mudhish mi naona ndo mazuri zaidi
hao wanaotoa nusu lita kwa sikuKwangu maziwa Bora ni ya ng'ombe wa kienyeji
Vizuri adimuhao wanaotoa nusu lita kwa siku
Al Mudhish ni maziwa bora sana ya unga kuliko maziwa yote uyajuayo.Naomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish,je utofauti wake ni upi?
Al mudhish
Al Mudhish ni maziwa bora sana ya unga kuliko maziwa yote uyajuayo.
Nido maziwa ya hovyo acha yauzwe bei ya juu tu
maziwa hayo yana nini hasa toka kwa hao ng'ombe wa kienyeji.Vizuri adimu
OVER.Kwangu maziwa Bora ni ya ng'ombe wa kienyeji
Organic Mzee, sio ming'ombe ya kutengenezwa maabaramaziwa hayo yana nini hasa toka kwa hao ng'ombe wa kienyeji.
kwa nini isiwe ng'ombe tuh hadi neno kienyeji liwepo
hivyo ubora wa maziwa wewe huupima kwa kutizama ng'ombe ni wakienyejiOrganic Mzee, sio ming'ombe ya kutengenezwa maabara