Kati ya Al Mudhish na Nido yapi na maziwa bora ya Unga

Kati ya Al Mudhish na Nido yapi na maziwa bora ya Unga

Kuna maziwa ya Unga yanasindikwa Uganda. Nadhani ni namba mbili kama sio moja. Ila Nido ni namba 1.
 
Nido yapo ya aina mbili, Kuna Nido ya dukani kwenye makopo na kuna Nido ya kwenye kifua cha binadamu...

Cc: Mahondaw
 
Tofauti na hayo maziwa

B & B japo siyo ya unga, nayakubali sana
 
Hakuna maziwa ya unga. Kama yapo ni mnyama Gani anae kamuliwa unga wa maziwa?

Nisaidie kuwa uliza Hilo swali
Skim milk 91% ni water,katika process ya kuyabadili kua powder,maji hayo huondolewa by boiling the milk,evaporation system,

Nimeelezea kwa ufupi sana ila ndio process ya kuyabadili maziwa from Liquid to Powder.
 
Najua process yote. Bahati mbaya sana haiwezi kunibadirisha kabisa.

Kitu kikishaingia maabara tu Tyr hakuna uhalisia Tena kimekuwa modified!
 
Back
Top Bottom