MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
- Thread starter
-
- #21
Bora umenielewa ila kuna VIHIYO wa SOKA hawakubaliAhsanteni sana Algeria kutuachia, ingelikua mechi ya kuamua matokeo kwa upande wa Algeria aisee angempasua mtu goli 7, navyoona ile mechi wametuachia tu, hawakutaka kukaza. Uzuri kocha wetu ni muaAlgeria so itakua imesaidia sana. Mungu awabariki hawa ndugu zetu waaAlgeria.
TUMIA AKILI JAPO YA KUAZIMA ALGERIA HAKUWA ANATAFUTA USHINDI KAMA TAIFA STARS KWANINI AJICHOSHE KUPIGA ON TARGET ALIKUWA ANACHEZA SHOW GAME ALIYEPASWA KUPIGA MARA 100 NI TAIFA STARSWe jiulize kwanini algeria pamoja na kuwa na possession kubwa sana lakini wana shot on target moja tu?
Kweli hamjui mpira[emoji1787][emoji1787]Ball possession siyo metric sahihi ya kujaji mechi. Football ni mchezo wa malengo. Taifa Stars lengo lao kubwa na ambalo lilikuwa rahisi kufikiwa ni draw. Na siku zote unapopambana na adui yako unatumia udhaifu wa adui yako. Algeria au timu za waarabu nyingi wanacheza rafu nyingi. Ukiangalia hata mechi ya kwanza walicheza rafu zaidi ya ishirini. Pamoja na ball possession ya 15% (actually ilkuwa 20% ) bado stars walipata kona 5 kwa 1 ya Algeria. This means stars walifanikiwa kwenye malengo yao. Ndiyo maana timu kama Barcelona huwa wanafungwa na timu ndogo halafu watu wanashangaa. You play to your enemies weakness not his strength.
TUMIA AKILI JAPO YA KUAZIMA ALGERIA HAKUWA ANATAFUTA USHINDI KAMA TAIFA STARS KWANINI AJICHOSHE KUPIGA ON TARGET ALIKUWA ANACHEZA SHOW GAME ALIYEPASWA KUPIGA MARA 100 NI TAIFA STARS
Otherwise wangekula 7 za fasta 😄
Huo umiliki wa 85% umeutoa wapi? maana takwimu hazisemi hivyo!! Kama ingekuwa ni hivyo bado mwenye 15% ndiye anayestahili sifa!! Maana yake anajua kucheza wakati akiwa hana mpira hasa kama ana malengo ya sare! Unamiliki mpira kwa 85% halafu haujui uufanyie nini mpira halafu unategemea kusifiwa!!Wadau nawasabahi. Tuwe wakweli nani anastahili kusifi kwa Mchezo wa Taifa Stars na Algeri?
Mimi nawasifia ALGERIA licha ya kucheza Mpira Mkubwa kwa kiwango hicho huruma na upendo wao kwa TAIFA STARS vilichangia kutufichia aibu kwa kuamua kutubeba hadhatani.
Sifa za Pekee ziwaendee Wachezaji wa Algeria kwa uamuzi wao leo dunia yote imejua tumefuzu.View attachment 2744530
"Mpira ni mahesabu Na bahati"Wadau nawasabahi. Tuwe wakweli nani anastahili kusifi kwa Mchezo wa Taifa Stars na Algeri?
Mimi nawasifia ALGERIA licha ya kucheza Mpira Mkubwa kwa kiwango hicho huruma na upendo wao kwa TAIFA STARS vilichangia kutufichia aibu kwa kuamua kutubeba hadhatani.
Sifa za Pekee ziwaendee Wachezaji wa Algeria kwa uamuzi wao leo dunia yote imejua tumefuzu.View attachment 2744530
Nenda ukakwee minazi ndio unachokijua,hapa utajionyesha tu jinsi ulivyo empty set.Hujui mpira ndiyo nyie Magoli ya Penalt mnayakataa
Hivi hukuona jinsi Taifa stars walivyokuwa wanakaba sanaTUMIA AKILI JAPO YA KUAZIMA ALGERIA HAKUWA ANATAFUTA USHINDI KAMA TAIFA STARS KWANINI AJICHOSHE KUPIGA ON TARGET ALIKUWA ANACHEZA SHOW GAME ALIYEPASWA KUPIGA MARA 100 NI TAIFA STARS
TUMEBEBWA KUBALINI ACHENI KUJITEKENYA