Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Amazon ni popular kuliko Alibaba!Aha, so it depends on unakonunua. Theme ni kujua which one is more popular, regardless. Maana Alibaba pia wana suppliers kutoka Europe na Marekani, kama sijakosea.
Naomba uthibitisho?Amazon ni popular kuliko Alibaba!
Duh, sasa unatarajia upewe uthibitisho upi?! Yaani unaamini kabisa kwamba Alibaba ni maarufu kuliko Amazon?!Naomba uthibitisho?
Issue sio bidhaa bali Sellers wenyewe! Unlike Alibaba na AliExpress, Sellers wengi wa Amazon wanatoka US na other Western Countries ambao ni kama hawajaliona soko la Afrika kama walivyoliona Wachina ambazo their cheap products zimesambaa kila mahali Afrika.Alibaba na Aliexpress wanasafirisha bidhaa katika bara la Africa katika nchi nyingi tofauti na Amazon unaweza ukapenda bidhaa lakini ukaambiwa this product can't be shipped to Tanzania me nimewahi Agiza Radio ya Gari kwa kutumia Aliexpress kwa kweli nilipenda huduma nilijaribu Amazon nikashindwa kwa sababu hawasafirishi baadhi ya bidhaa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahitaji original, unaweza kununua moja kwa moja toka kwa wenyewe hapa! Kwa bahati mbaya, they don't ship to Tanzania lakini unaweza kutumia US Forwarders kama vile My US. Shipping cost ya chini kabisa ni takribani $18, na gharama halisi za shipping zinategemeana na uzito wa saa yenyewe.Jamani mimi nahitaji saa kubwa kubwa zenye nembo ya DIESEL nifanyeje hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu.Kama unahitaji original, unaweza kununua moja kwa moja toka kwa wenyewe hapa! Kwa bahati mbaya, they don't ship to Tanzania lakini unaweza kutumia US Forwarders kama vile My US. Shipping cost ya chini kabisa ni takribani $18, na gharama halisi za shipping zinategemeana na uzito wa saa yenyewe.
Ukishindwa kununua Diesel, unaweza kununua hata kwa Fossil hapa, na hapa (kwa smartwatches). Hawa Fossil ni Diesel's licensed watches manufacturer.
Nataka zenye mfano huu mkuu. Hata kama sio diesel ila ziwe kubwa kubwa. Ziwe na tarehe pembeni na saa ya hivyo kama ilivyo hiyo mkuu. SorryKama unahitaji original, unaweza kununua moja kwa moja toka kwa wenyewe hapa! Kwa bahati mbaya, they don't ship to Tanzania lakini unaweza kutumia US Forwarders kama vile My US. Shipping cost ya chini kabisa ni takribani $18, na gharama halisi za shipping zinategemeana na uzito wa saa yenyewe.
Ukishindwa kununua Diesel, unaweza kununua hata kwa Fossil hapa, na hapa (kwa smartwatches). Hawa Fossil ni Diesel's licensed watches manufacturer.