Kati ya ATC ARUSHA na MUST MBEYA ni wapi life iko cheap kuliko mwenzie kati ya hivi vyuo viwili?

Kati ya ATC ARUSHA na MUST MBEYA ni wapi life iko cheap kuliko mwenzie kati ya hivi vyuo viwili?

"E="Holoholo, post: 56600337, member: 709104"]
Achana na chuo, utapoteza pesa na muda baada ya chuo utarudi bila kitu home na ajira hupati. Jikite ktk fani.
[/QUOTE]" kwani wewe chuo umesoma hujasoma?
 
Katika hali ya kawaida kabisa huwezi kuilinganisha Mbeya yenye mzunguko mdogo wa pesa, uwepo wa vyakula vingi na Arusha ya kitalii.
Hivyo kiufupi maisha ni rahisi zaidi Mbeya ukilinganisha na Arusha.
 
Back
Top Bottom