franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
sema nikuweke ππ
Bruh umeongeaWote wafanye kazi, maajabu ya capitalzone 4*4 yananivuruga akili.
Nahisi Tttr na hao kazi zao ni tofautitttr ndio noma
Azam ana bei za kipumbavu hao wengine sijawaji jaribu.....jamaa wana customer service kali sijapata ona sema bei sasa mmmh ya Altezaa internal decoration bei sawa na Discovery 4 aisee inauma mnoHawa jamaa ningependa tuwachambue kitaalamu ni yupi mkali kuzidi mwingine na kwa nini?
Maana ubishi mtaani umekua mkubwa yaani mtu akipeleka gari yake sehemu moja na mwingine kwingine wanaishia kutamba oohh gari yangu vile mara wewe iko vile.
Sasa kwa wataalamu naomba tuelezane bila upendeleo ni yupi mkali kuliko mwingine na sababu ni ipi inayomfanya awe mkali au asiwe mkali kuzidi mwenzake.