Kati ya Azam Upholstery na Safari Automotive nani mkali wa Interior na exterior Designs?

Kati ya Azam Upholstery na Safari Automotive nani mkali wa Interior na exterior Designs?

Hawa jamaa ningependa tuwachambue kitaalamu ni yupi mkali kuzidi mwingine na kwa nini?

Maana ubishi mtaani umekua mkubwa yaani mtu akipeleka gari yake sehemu moja na mwingine kwingine wanaishia kutamba oohh gari yangu vile mara wewe iko vile.

Sasa kwa wataalamu naomba tuelezane bila upendeleo ni yupi mkali kuliko mwingine na sababu ni ipi inayomfanya awe mkali au asiwe mkali kuzidi mwenzake.
Azam ana bei za kipumbavu hao wengine sijawaji jaribu.....jamaa wana customer service kali sijapata ona sema bei sasa mmmh ya Altezaa internal decoration bei sawa na Discovery 4 aisee inauma mno
 
Azam hawa hapaView attachment 2092138
azamupholstery-22012022-0002.jpg
View attachment 2092139
 
Back
Top Bottom