Kati ya Baba na Mtoto yupi yuko sahihi....!!

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Baba kamuuliza mtoto wake

Baba. "Mwanangu eti BIBILIA kwa kiingereza inaitwaje?
Mtoto. "GRANDMOTHER CRY"
saizi mtoto anakichezea kichapo..
Yupi yuko sahihi..hapo
 
Hakuna kitu, kinaitwa hivo hicho ni chenu
 
WEWE MKENYA AU MCHAGGA NINI hiyo ni BIBLIA na sio BIBILIA
 
Ni sawa na kusema tofauti kati ya Barrick na Acacia. Ni kampuni mbili tofauti kwa sheria za uanzishwaji wa makampuni TZ. Sasa Bibi-lia na Biblia wapi na wapi?!. Dogo yupo sahihi. Bibi-lia=Grandmother-Cry. Dingi hapo ni kama Bunge la TZ. Ni mapoyoyo na kudunda meza kwa ndiooooo Barick=Acacia. Tumeibiwa bila Acacia kuwa na leseni mpaka leo! Mfyuuuuu.
 
ha ha ha... umeona eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…